Tunashukuru walioulizia juu ya jambo hili na leo tutakufundisha njia kadhaa za kuzitambua kama ni orijino au feki.
> KABLA YA KUNUNUA
Fahamu aina za Memori kadi (SD Card)Kuna aina kuu tatu. Hapa cha muhimu kujua ni kuzifahamu hizi alama zake,
ukikuta memori kadi imeandikwa ina ukubwa wa GB 8 na huku ukiiangalia haina alama ya familia hiyo basi utambue unanunua kimeo.
1. SDSC or SD
Hizi zina ukubwa wa hadi GB 4
![]() |
2. SDHC- Ukubwa wa GB 4 – GB 32 |
![]() |
3. SDXC - Ukubwa wa GB 64 – TB 2 |
Fahamu tofauti za muonekano wa logo na majina yake, SDSC(SD), SDHC na SDXC…pia kiasi cha ukubwa unaotegemewa kwa aina hiyo ya memori kadi.
Ukiona tu haviendani ujue unanunua bomu. Kuna viwanda vingi bubu vinavyotengeneza memori kadi na kuiga majina ya makampuni makubwa lakini huwa hizo logo wanaweka ovyo ovyo tuu.
Ukiangalia ujazo wa GB zake na alama zilizopo utagundua kadi kadhaa katika hizi ni feki

Ukiangalia ujazo wa GB zake na alama zilizopo utagundua kadi kadhaa katika hizi ni feki

>USHANUNUA NA HAUNA UHAKIKA
Kama umeshainunua na unaona inasumbua sumbua na unataka kujipa uhakikisho wa ubora wake basi fuata njia hizi. Moja ya kwenye kompyuta na nyingine ya kwenye simu.Kwenye Kompyuta
Kuhakikisha kwenye kompyuta kuna programu kadhaa, leo nitazitaja mbili zaidi zinazoaminika.Kuna H2testw na FakeFlashTest. Kupitia programu hizi utaweza kufahamu ujazo wa ukweli ulio kwenye memori kadi au ata USB Flash.
Hakikisha unazi’test’ mpya mara baada ya kununua ili kujihakikishia na hivyo kuwahi kurudisha kama inawezekana. H2testw ndio maarufu zaidi.

Kwenye Simu
Pakua app moja inaitwa SD Insights.App ya SD Insights ikitoa taarifa kuhusu kadi iliyowekwa kwenye simuWeka memori kadi yako kwenye simu na fungua app ya SD Insights. Inatakiwa kukupa taarifa zote muhimu kuhusu memori kadi yako.
Kama ni orijino au feki basi utapata kujua. Utapata taarifa sahihi za ujazo (storage) wake, kampuni iliyoitengeneza, tarehe ya kutengenezwa na kama ni kimeo utafahamu pia.
Muhimu kujua!: Ni kawaida memori kadi ya ukubwa flani, mfano GB 4, kuwa na kama GB 3.8 hivi badala ya 4 kamili. Tunachoongelea hapa ni tofauti kubwa.
Je wewe ushawahi kuuziwa kimeo? Sasa kupitia tuliyoyaeleza utaweza kuepukana na hadhaa hii ya kufanywa Zeze na wauza bidhaa feki.
You have bought memori card (SD Card) to 4 GB, 8, etc. then you found the time to use it is the same half of the growing volume is recorded on the card? Or data are kept constant vanishing ... So you know you bought fake SD Card. Most often they find they spend more money if they know they have memory card size that appears on the card but at the end of the day are frauds warn. We are grateful to those who inquired about this and today we will teach you several ways to identify if original or fake. > BEFORE YOU BUY Identify the types of Memory cards (SD Card) There are three main forms. Here the key is to know these know his marks, if you find written memory card has a size of 8 GB and as you look at it does not mark the family then you realize you bought the abuser. types vOL SDSC or SD These are sized up to 4 GB SDHC SDHC-logo.png The size of 4 GB - 32 GB SDXC-logo.pngSDXC Size 64 GB - 2 TB Understand the different appearance of the logo and its name, SDSC (SD), SDHC and SDXC ... also volume size regime expected for that kind of memory card. If you see only inconsistent know you bought bomb. There are many industries that make up dumb memori card and copying the names of big companies but these tend logo put muddled.memory cards Looking at the volume of its GB and bookmarks will discover several of these cards is fake memory cards > Bought AND HAS NO POINT If you have already bought and it is bothering you and you want to give yourself the assurance of its quality then follow these methods. One of the computer and the other on the phone. on Computers Make sure there are several programs on the computer, today I will mention two more credible. There H2testw and FakeFlashTest. Through these programs you can appreciate the fullness of truth which will memory card or USB Flash. Make sure you 'test 'new immediately after purchase to ensure and restore it if ever possible. H2testw popular ones.memory card usb flash h2testw on the Phone Download one app called SD Insights. App to SD Insights releasing information about card installed on the phone Memori Put your cards on the phone and open the app to SD Insights. It should give you all the necessary information about your card memory. If it original or fake then you find out. You will find accurate information cubic (storage) from company's sheets, date of manufacture and, if it's fake you will know too.