Je, Umeipenda Whatsapp Status ya rafiki yako na unataka kuipata bila ya kumuomba akutumie?
Kama ndiyo, Basi upo katika ukurasa sahihi!.
![]() |
StatusDownDa - App Ya Kudownload Status |
Mtumie SMS Moja wapo kati ya hizi....
Hahahah.. Nimeipenda Status Yako, Naomba Unitumie! Au Hi best! / Niaje mzeebaba! Naomba unitumie hiyo video 😅😂 . . . . NATANIAAA!!! 😎
Tuendelee na somo letu. . .

Hatua Rahisi Unazotakiwa Kufanya na Kufuata ni Hizi 3 Tu!
1. Pakua StatusDownDa App PlayStore kwa kubonyeza HAPA au Picha hii ya chini2. Fungua WhatApp na Angalia Status Zilizopostiwa na Rafiki Zako
3. Fungua App Ya StatusDownda kisha Download Status Ulizozipenda.
Ukifungua App, Utazikuta status zote ulizoziangaliaWhatsApp, sasa hapo unaweza kujichagulia ni status gani (Video au Picha) uliyoipenda na utaweza kuidownload kiurahisi kabisa
✅ Ili Udownload, Unatakiwa kubonyeza alama ya julisha kisha Save.
Kama una Swali au Changamoto yeyote Usisite Kuniuliza. Nipo tayari kukusaidia mda wowote