KimJoh Author

Nafurahia kuishi kwa kutengeneza mkwanja mtandaoni, na najisikia furaha sana nionapo nimefanikisha kubadili maisha ya wenzangu kupitia kuwafundisha kujipatia kipato kutoka kwenye mtandao ( internet ).

Pia, Napenda kujishughulisha na 

  • Blogging, 
  • Tricks za simu, 
  • Ushauri kuhusu matatizo ya simu na Computer. 
  • Electronics circuis assembly na designing, 
  • Kufuatilia Trending Stories na 
  • Mentorship programmes

Nitafurahi kukuona kuwa moja ya wafuatiliaji wakubwa wa Blog yangu. 
Asante kwa kutembelea 
kim-joh.blogspot.com